Thursday, May 3

Playing with fire...Wanasema mtoto akililia wembe mpe, je akililia moto? Hii ilitokea wiki iliyopita, Shy alishuhudia uale wa moto mbele yake...sipati picha maswali yaliyopita kwenye ubongo wake mchanga...


...akaushangaa weeeee...akataka kuugusa, mi nikamwacha tu auguse!!!

...kumbe nervous system yake iko gado, maana hakuthubutu kugusa...alipojaribu mara kibao, akaona isiwe tabu mateso ya nini, akaacha! 
...bado kujua kuwa unapulizika...
...kumwachia mtoto ajaribu mshumaa huku unamangalia si hatari, as hatafikia hatua ya kugusa moto, hatari ni vitu kama pasi...

No comments: