Friday, May 4

Tuwaombee wenzetu - FelistaMdau Felista Shoni Halvorsen wa Norway anasema...
"Habari za siku watoto wenzangu. Nawatakia heri na baraka watoto wote na tuwaombee watoto wenzetu waloaga dunia kwani kiroho tupo nao. Nawapenda wote."

No comments: