Saturday, June 16

At last Rukia amelazwa nyumba ya milele

 Mwili wa marehemu Rukia ulipelekwa kijijini kwao kutoka hospitali kwa kutumia ambulance hii, iliyotolewa na mkurugenzi wa wilaya. Mkurugenzi huyu ni mpya, na according to our source wa habari zote kuhusu Rukia, anko Victor Richard, mkurugenzi huyu aliguswa sana na kisa kizima cha huyu mtoto.

...hapa marehemu Rukia akisomewa dua nyumbani kwao...

...akisindikizwa... ambapo source wa habari hii ya Rukia toka mwanzo, ambaye alijenga ukaribu na mtoto huyu, Victor Richard (mwenye shati jekundu) anasema, " Ilinibidi nibebe jeneza kukubari RUKIA sipo nae tena."
 Safari iliishia hapa...Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya mtoto Rukia.


1 comment:

Anonymous said...

DAH MAMA X NIMESIKITIKA HATA TUMBO LINAUMA. MUNGU AMLAZE MALAIKA WETU PEPONI, NA AWAJALIE NGUVU NA SHUKRANI WAZAZI WAKE