Saturday, June 16

Wenye wadau 'Under 5' nawakumbusha...

Nadhani wote mmesikia kuhusu kampeni ya matone ya vitamini A na dawa za minyoo kwa watoto kuanzia mwaka mmoja hadi miaka mitano.
Najua weekdays wote tuko bize tukisaka hayo maziwa ya watoto, wikend ndio hii hapa, ungejivuta clinic ya karibu wapate hayo matone na hiyo dawa.
Mie nawakumbusha tu, nimeshatenga Jumatano ya wiki ijayo kumpeleka X, maana ndio siku ya chanjo ya binti, so ntaenda nao wote...Wikend njema.

2 comments:

Anonymous said...

Asante kwa kutukumbusha,na mimi nakumbusha ombi langu la menu ya mtoto.
Ubarikiwe

Anonymous said...

THANKS MAMA X KWA KUBADILI BACKGROUND- LOOKS BETTER BUT UMEMSAHAU X - ATAKUA AMEWAKILISHA BOYS PIA