Sunday, June 10

I believe I can fyl...

...angle hii ya picha ni nzuri sana...jaribu mtoto ambaye haogopi, picha inakua nzuri sana, acha huyu binti yangu anayeogopa utadhani kaambiwa ntamwachia... mpigapicha akipata timing nzuri afu ukamrusha kabisa anaonekama kama anapaa...jaribu afu nitumie hiyo picha kwenye mamanamwana@gmail.com
Jumapili njema.

1 comment:

Anonymous said...

Jiang, your baby is cute. Pls, naomba msaada wa vyakula unavyompatia mrembo wako. Mine ana miezi 6;nimeanza kumpa solid food,hivyo naomba msaada wa kufahamu ratiba ya kumlisha na vyakula pia.
Asante.
Mama Aby