Friday, August 10

Nilikuwa kwa wadau wa Lindiii

...jamani mnamwona mdau anavyofaidi samaki nchanga??? Inaelekea ni tamtam ile mbaya...
Nilikua huko kwa muda, ila kuonja hii kitu bado, labda next tym, ingawa mdau alinihamasisha kwa jinsi alivyokua anaonekana anaenjoy... 

...now am back...Jumatatu ni cha kufanya mtoto akianguka...

No comments: