Thursday, August 30

Xy's birthday - Onja

...hii ndo tam tam yenyewe...Yes, tweety, nilimchagua mam'tu, since binti hana uchaguzi kwa sasa...  ..part hii hakuipenda sana...

...biggie tulimpick toka shule moja kwa moja kwenye birthday, na uniform zake! 


...brothely love...

3 comments:

Sixtus said...

Niliimisije!! Hope next time nitahudhuria huo mnuso.

Anonymous said...

hongera sixtus na jiang ila jiang naomba unambie unampanini mwanao mwanangu hataki kuwa kibonge kabsaa and she is turning 2

Anonymous said...

Hongera sana Bi mdogo ubarikiwe sana katika maisha yako yajayo ni safari ndefu, Mengi yanakungoja.
wifi hongera sana na natumaini mmekuwa na siku nnzuri baraka nyingi toka kwa
Audrey,Christian na Oscar.