Thursday, August 30

Happy (belated) birthday Tony


Mdau Anthony Mgheni (Tony) ametimiaza miaka miwili Alhamis iliyopita ya tarehe 23.  

...tam, tam...

 Alikata keki home akiwa na mama (Martha) na baba... 

...baba na mwana...

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Tony maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. No comments: