Wednesday, August 29

Happy, Happy Birthday My Girl

Binti yangu, mrembo wangu, malaika, princess aka Binti Mapunda...
Wazazi wake tunamwita Xyleen Lerato Mapunda...
Kaka mtu  anamwita Schai-Schai...
Babu yake anamwita Lerato/Rato...
Kwenye Fema TV Talk Show anaitwa Zulu...
Kwa ufupi mwite Shy...
Anatimiza mwaka mmoja leo!
Mungu anipe nini...
Nashukuru sana kwa kupata binti, ambaye kila siku ananifundisha kitu kipya juu ya kuwa mama.

PS: Hamna sherehe...n'tamfanyia vile anavyopenda zaidi; nitashnda naye siku nzima na kumtoa for lunch!

3 comments:

Anonymous said...

Hi my dear, hongera sana kwa kukuza, mpe hongera zake binti.

Mama Josh

Anonymous said...

Happy birthday mtoto mzuri. MUNGU akukuze kwa kimo na maarifa.

Christine(Mama Cleo). said...

Happy Birthday Xyleen. Ukue katika njia impendezayo Mungu. Tunakupenda sana mrembo.