Tuesday, August 28

Sale ya vitabu bomba @Mlimani City

 Unaijua Scholastica Bookshop? Zipo mbili, ya Samora Ave na Mlimani City...yap, ile Bookshop iliyopo  ndani ya Mlimani City Complex... Yes, wana bonge la sale la vitabu...ni vizuri sana...
Unakumbuka ile topic ya IJUE DUNIA katika kumwongezea mdau akili? Hapa utapata majibu yote unayotaka kuhusu dunia...kuna encyclopidia na story books kibao on sale! Mi nikadaka encyclopedia zangu za watoto by Disney nne, nilichanganyikiwa kidoogo ninunue zote!

...Hii inahusu World Leaders, nilipenda nilipomuona Baba wa Taifa Mwalimu JK Nyerere hapo... 

...katika Statesmanship tumetisha...
Pita pale uibuke na vyako uvipendavyo, maana viko katika topic mbalimbali!

No comments: