Wednesday, October 10

Bridgitte na Bernice wanawapa Hi!
Bernice na dada yake Bridgitte wanawasalimu sana watoto wote pamoja na wazazi. Wanawapenda sana. 
Bridgitte ametimiza miaka sita Ijumaa tarehe 05/10/12, na Bernice ana miaka miwili alitimiza August 18/12.

Mkue na kuwa na heshima na adabu.

Bernice Na Bridgitte mama anawapenda sana.

No comments: