Friday, October 5

Huu ni mwezi wa pink!Octoba ni mwezi maalum wa saratani ya matiti...nakuhamasisha mwanamke mwenzangu ukachunguzwe matiti yako, kwani kuigundua mapema ni moja ya kinga kuu ya ugonjwa huuu.
Mwaka jana walikua wanafanya Aga Khan, mwenye taarifa atushtue tukachekiwe...afya ni muhimu sana katika malezi ya wanetu!

No comments: