Thursday, November 15

1st Birthday ya Cleo ktk picha

Birthday Girl

 Tamtam yake


PICHA ZAIDI ZAMA NDANI!She was very happy.


Akacheza muziki vya kutosha.


 Baadae akaona Hanna Montana anamzingua akamkatilia mbali.
 Akakata.


Akaona isiwe tabu hadi nianza kuwalisha kitu gani, akaanza kujilisha mwenyewe.

Akalishwa na ma'mtu.

Akamlisha swahiba wake Mohamed.

Akamlisha mama yake.

Akafata baba yake.

Akakandamiza ya baba.


Akawalisha wadau kwa niaba ya wenzao.

Wadau wana swaga, eti walikuja full package na mijizawadi. zilikuwa nyingi nyingine zipo hadi leo.
Akapokea zawadi zake. 


 Kiduku time.

Sherehe ikaisha ghafla baada ya Tanesko kusababisha. 
Ilikuwa Jumanne Tar 02.10.2012

No comments: