Tuesday, November 27

KUTANA NA CLEOPATRA

Kutana na Cleopatra mwaka Oct 2011 - Dec 2012

 
2 Days. 

Mwezi Mmoja na Nusu.


 
Miezi Miwili

Miezi Mitatu

 Miezi sita.

 Miezi nane huo mchanga uliliwa balaa ukichanganya na chumvi chumvi alihufurahia lol


Miezi tisa mazoezi ya kuendesha baby walker yamepamba moto.

Miezi kumi. Anajifanya nae mkubwa anaweza kuwasukuma wenzake.

Miezi kumi na moja

Mdada, mwaka mmoja.

Tunataka kukutana na mdau tutumie picha tukutane nae kupitia
mamanamwana@gmail.com

No comments: