Tuesday, November 27

Feza Nursery Graduation


Kwanza tulisalimiwa kwa lugha nne tofauti!!!

Then, graduation ilifunguliwa rasmi kwa wahitimu kuimba wimbo wa taifa wa Tazania na wa Uturuki pamoja na wazazi na wageni waalikwa.

Mgeni rasmi alikua Balozi wa Turkey nchini (wa tatu kulia) akiwa na mkewe (ambaye alikua mwalimu) na mtoto wao...hapa wamesimama kwa ajili ya nyimbo za taifa.


...baadhi ya wahitimu, Yes, wameshakua, January wanaenda Class One!!!!

...cuuute...
...kurekebisha kofia muhimu...

...ndugu jamaa na marafiki walikuwepo kuwasindikiza...Graduation ya kwanza ya mtoto, so wazazi walikua na furaha mno!

Ilikuwa ni booonge la event lenye picha za kumwaga. Bonyeza kushoto ujionee yaliyojiri. 
(ENDELEA KURE-FRESH...MORE PICTURES COMING UP!)




 
...ukiingia ulikua unapokelewa na wadada wawili, unapewa ratiba iliyofungwa na pipi...

KG II na Ring Dance!











KG I Macarena





KG I - Dance

 ...YEEEES. thats my BIG BOI!!!







Fashion show...The world as One!








...wanawake wa pwani ya Swahili (Swahili cost)










...Balozi na mkewe wakapiga nao picha...

PROFESSIONS

...mjeshi...UN Peace keeping force.???..

 ...brigedia nani?

 ...lawyer lazima awe na swagger!!!

 doctor na nurse (chini) walituambia; without me you will die!

...pilot...

 ...chef...bila huyu pia tunaweza kufa!

 ...entertainer...bongo fleva au???

...farmer...Kilimo kwanza!!!



KG III - DRAMA

Hii drama hakukuwa na maneno...kimya kimya na background ya music...For me it was the highlight of the graduation....It showed these kids are really grown up and matured....walifanya kila kitu bila kukosea bila mwongozo wa walimu...na wageni tulielewa mwanzo mwisho, ingawa hakuna neno lililozungumzwa!
Big up sana teachers, this was a great creativity!

...kwanza tuliwekewa vibanda viwili kwenye stage... 

...then introductions... 

 ...villagers wakiwa kwenye vibanda...the drama has begun!

 ....hiyo blue hapo ni mto/river...

 ...wanakijiji wanaanza kutumia maji ya mto asubuhi...

 ...huyu anapiga mswaki...(mwenye green hapo ni mti)

...wengine wanachota maji kwa matumizi ya nyumbani...

...huku mwingine anaoga hapo hapo mtoni... 

 ...hawa anafagia uchafu toka majumbani kwao to the river...

 ...wanaotaka kufua nao wamefika...

...after all work is done it is time for food...

...dorctors are watching....wanakijiji washaanza kuugua matumbo...

 ...doctors wameenda kuwaona na kutoa ushauri...

 ...then wanawapa dawa....

...mwisho wanakijiji wote wanatoa ujumbe...

 ...main message is... si mnaisoma hapo nyuma! need I say more?
Kudos to the teachers for making this  drama and the kids who participated - you are so GREAT!!!
YOU ROCK! 

Wahitimu

...wahitimu walivaa black and white...kama umenotice KGI were green, KGII Purple!






















Teacher's certificates...

Siku hiyo (Jumamosi ya tarehe 24 November) ni Teacher's Day nchini Turkey...so techers wa Feza Nursery school wakapata recognition kwa kazi yao nzuri, wakapewa zawadi na maua wakikabidhiwa na mke wa balozi ambaye ni retired teacher...
...Headmistress, Ms Bushra...she is soooo loving...kwa kweli anawapenda watoto sana!!!



 ...Teacher Martha (teacher wa Xchyler)...










 Certificates for the Graduants

Hiki ndicho kilichotukusanya...



















...congrats to all KG III students on your first ever graduation!!!!...all the best in primary school !!!


Family and friends
















 ...mwanafunzi akiagana na teacher...





Lastly...

...hii saa niliipenda mno...

 ...Xchyler alipata picha moja na ticha wake...(niliambiwa: mam one picture, me and teacher Martha)

....Mama (in white) akiwa na binti aliyehitimu (mwenye white pia) na KGI student (mwenye green)

 ...kila graduant alipewa hii memorabilia card, yenye collection of his/her pictures...GREAT!

...Xchy;er akiwa na classmates...

It was tough work but teachers did it with smiles!!! You are ALL GREAT!!!
Thanks kwa great graduation!!!

PICHA NI NYINGI KWELI KWELI...HAPA NIMEWEKA KADRI YA UWEZO ILA BADO ZIMEBAKI!!! PIA HAPA NIMEWEKA ZIKIWA KWENYE SIZE NDOGO, SIZE NILIYOPIGIA NI KUBWA.
SO IF ANYONE, MZAZI, TEACHERS etc. WANT A SOFT COPY OF ANY PICTURE HERE PLEASE email me through: mamanamwana@gmail.com AND I WILL SEND IT TO YOU!

1 comment:

Anonymous said...

nice pics mama double X. kwani X umemrudisha darasa?, nilidhani angekua anagraduate