Monday, November 12

Xy's One year photoz

...hii ndio picha niliyompiga kwa ajili ya kumbukumbu ya kutimiza mwaka mmoja.

Vipi...ningeingiza kwenye shindano la photogenic Bebi ingeleta mchuano?
...hapa ndipo moyo wangu unapodunda! 

Tulipiga picha nyingi...Bofya hapo kushoto kuziona...Bahati mbaya mlengwa hakuwa kwenye mood...so hamna picha aliyocheka na pipi ndio ilikua inamfanya asilie!!! 


  ...my fav boys!

3 comments:

Anonymous said...

Jamani Wifi safi saaaaaana yaani kadala amependeza sana na kaka pia amekuwa sasa. Kazi nnzuri sana kwako na Kaka ni familie yakuvutia kwakweli. Hongeleni sana. Baraka nyingi kwa sisi wote.

Anonymous said...

JIANG MUMEO KANENEPA MNO, HEBU MPE DIET EISHHH! WE MWENYEWE KIPOTABLE NINI KUMZEESHA MTOTO WA MWENZIO, MWISHOE VIFUNGO VYA SHATI VITAFUNGUKA. MPIKIE MICHEMSHO

Jiang said...

Asante sana wifi...wasalimie wapya zangu.
Anony...loooh, mi mbona naona kitambi kinampendeza mume wangu? mi nakipenda bwana ndio maana namkaangizia kiendelee kuwepo!!!