Saturday, December 29

Merry Xmas from Felista!


 Felista anawatakia sikukuu njema watoto wote.
Pamoja na baridi yeye alipenda kucheza nje kwenye snow.


Mama na Mwana pia inakutakia sikukuu njema, hope ulifaidi Xmas na uta-enjoy sana New Year...tunasubiri picha...

No comments: