Saturday, December 29

X mass Mchanganyiko

  Cleo akiwa tayari kutoka.


 Hawa hata sijui kama walikuwa wanajua kuwa ni sikukuu.
 Cleo na mama.

Cleo anasema "Hata kama nguo mpya mtajijua wenyewe mi nakaa zangu tu chini".

 Swaga za kutembea kwa makundi. Unakumbuka enzi zako mzazi?

 Charles alitokelezea hivi.
Ommy yeye alikuwa busy hata sidhani kama alijua ni sikukuu.

Hapa ni Euginia, Elizabeth, Cleopatra na Genesis.
Hawa nao sijui walikuwa wanazoza nini maana nashindwa hata kuwapa caption. 

1 comment:

Anonymous said...

Watoto wazuri wamependeza. Hongereni wazazi kwakuwafurahisha watoto.