Wednesday, December 5

Milk teeth ndo zinatoka!


 My Big Boi anazidi kuwa BIG!!! wiki mbili zilizopita alitoa jino lake la kwanza la utoto...thank God daddy alikuwepo, maana nilikua naogopa kwamba ataumia...ila hakusikia maumivu hata kidogo!

 ...baada ya kutolewa...

...yeye mwenyewe hakuamini, ikabidi ajicheck kwenye kioo...
Ila hadi sasa jino la ukubwani lishaanza kujitokeza!!!

NATAKA KUJUA: 
Watoto wa siku hizi wanafanya nini na meno yao yanayong'oka? Enzi zetu ilikua kkurusha juu ya bati, au ndio mambo ya Tooth Fairly?

FACT SHEET:
  • Watoto huwa wanaanza kung'oka meno ya utotoni (milk teeth) kuanzia miaka mitano hadi saba! 
  • Yanang'oka kama yalivyokuja, la kwanza kuja ndio linakuwa la kwanza kung'oka!
  • ...kama ulikua hujui hayo, karibu tena!

No comments: