Wednesday, December 5

Twitter baby

Huyu mtoto amezaliwa juzijuzi huko Marekani kuna mdada wa dot.com amempa bintiye jina la Hashtag ...na kama unavyoona katangaza kwenye Facebook...mmmh, labda anayefata ataitwa Status!

No comments: