Wednesday, January 2

Joan amekuwa mdada


  Kama mnamkumbuka enzi hizoooo.
Now anaingia Class III
 Now kawa mdada nae anasaidia kazi za nyumbani ikiwemo ulezi wa wadogo zake.
Hapa akiwa na kaka binamu wake Emmanuel. 

Hata hii picha alipiga yeye, hii inaonyesha ni jinsi gani atakuwa mpiga picha mzuri.
Kama umemsahau ingia
UKUMBUSHIE

MamanaMwana inakutakia kila la heri Joan uwe mdada mzuri ee.

1 comment:

Anonymous said...

Nimeipenda blog yako..