Tuesday, May 11

Joan anawapa salamu toka kwa bibi

 Joan anawapa hi wadau wote, yupo Vacation Lindi kwa Uncle wake. Anasema atarudi Dar matope yakikauka huko njiani kwani barabara ni mbaya. Anasema amewamiss sana.

1 comment:

Christine said...

Woooooooow my daughter wa ukweli aka mcahruko. Mic u baby