Showing posts with label Mini Me. Show all posts
Showing posts with label Mini Me. Show all posts

Saturday, March 21

Mini Me-Hery & Nicole

Hery na mwanae Nicole.
Shost unatutilisha donge tu tusiokuwa na watoto wa kike afu tunawatamani, maan mimi X wangu nikimetisha nae sana ni T-shirt tu, sasa hapa nyinyi mmemetisha vitopu, mmependeza sana, na mnavutia mno, kama mko kwenye tangazo languo vile!

Friday, December 12

Mini Me - Justades & Suri


Justades Angelo akiwa na mwanae, Suri. Mhh, huyu mwenzetu kajizaa, maana amemranda sana mwanae. Macho, shepu ya sura, hadi smile, hadi rangi, mtu hata huulizi, ni kama yeye mwenyewe mdog (mini me) au nyie mnaonaje???