Baby Jamil akiwa katika wiki moja tokea azaliwe may 2008.Mtoto wa kwanza katika familia ya Mr.&Mrs Jamal Jamidu.Mungu amjaalie afya njema mtoto Jamil au (Baraka jina alilopewa na daktari wa Muhimbili ikiwa kama ni baraka kutoka kwa Mungu). Jamani wadau naweza akajakuwa kama Baraka Obama.
2 comments:
Jiang nimependa blog yako. Pia nashukuru kuniandikia e-mail. Nilishaiona siku nyingi sana na kuvutiwa nayo. Ina mafunzo. Jicho la pili hutazama sana kuliko la kwanza. Lako ni jicho la tatu kabisa. ntajitahidi niwajulishe wengine pale kwangu.
baby jamil looks so big and healthy. cheers.
mama P
NB:naomba dada yangu ulete mdahalo kuhusu lini kumuanzisha mtoto chakula..mie wangu ana miezi 4 na nusu nataka kumuanzisha cereals je kuna ubaya wowote?alafu vipi kwa mtoto ambae nywele zake zinatoka?yani hazikui zinakuwa na patches kichwani?nilisoma kwenye internet kuwa kuna watoto nywele zao hudondoka mpk ikifika miezi 6 au 8 je kuna ambaye ana experience the same issue?na kuna njia ya kutatua?naombeni ushauri.
Post a Comment