Tuesday, June 30

Baby Neema na Ma'Mdogo Beatrica

Mdau wa Stuttgart,Germany, Neema akiwa mikononi mwa Ma'mdogo Beatrice.
Neema anasema, "Asante mama mdogo, kwa kunibeba na kupiga pasi nguo zangu!"
*****
Jamani wadau wa Bongo mpooo?
Mbona kimya kingi, au ndio fimbo ya mbali haiui nyoka?

1 comment:

Anonymous said...

mmmmh ma mdogo siku hizi amebadilisha jina? maaana mmmmh ngoja niyaache hayo.... lakini mmependeza ma mdogo na mwanae.... kila la heri da neema na mama yake na huyo anayemnjooshea nguo... from kijichi..