Thursday, June 18

Usafiri Unaojali Usalama wa Watoto

Huku kwa wenzetu usafiri wao unajali sana usalama wa watoto, hapo straller ya mtoto imebanwa na mkanda.

4 comments:

Anonymous said...

Ni hali ya umaskini wa Nchi pia unachangia Jiang.Sasa kwa nchi yetu hiyo nafasi iliyowekwa pusher si nafasi ya abiria watano waliosimama,kwanza utalisukumia wapi ukamshusha kwenye basi barabara zote madimbwi!!Sijui km tutafika kwakweli!!

Anonymous said...

We mdau uliechangia eti umaskini hakuna nchi tajiri kama tanzania kama ulifanya research umekosea tena sana nchi yetu imejaliwa na inaongoza kwa utajiri miongoni mwa mataifa ya AFRICA ila tuu ni ufisadi mambo kama haya yanawezekana sana hapa Tanzania.
Mama Ethan

Anonymous said...

Ujinga tu ndio unasababisha yote haya. Hapa tanzania hata kama uwezekano huo upo, abiria mwenyewe hataki kufahamu haki yake.

Unknown said...

kwa Bongo hapo tayari konda mshachapana au asha kupakia mitusi usowahi ata kuisikia, hiyo ndo dunia ya kwanza kulinganisha ya hamsini yetu hii ni soooo,

by the way mbasi au mtram an underground train wote wabeba zaidi ya abiria mia waendeshwa au kuhudumiwa na mtu mmoja cc uku kapanya cha watu kumi wafanyakazi zaidi ya wanne na wapiga debe juu.

teh teh teh,