Nimetumiwa hii picha na babamtu, kaniambia wakati mi niko kwenye kijishule changu, X kawa profesa -hata sijui wa nini- nikaambiwa niwataarifu wadau juu ya hilo.
Nimecheka sana hii picha kwa kweli...maana huyo Xchyler anajifanya yuko serious, na miwani ya maigizo!
3 comments:
kamependeza imemfanya awe mkaka kwelikweli au amekua?ila angalia asizoee sana kuvalishwa miwani hata kama huwa analilia...zina effect sana kwenye sight visibility ya mtoto...nakumbuka when i was young mama yangu alikuwa akirudi kazini ukishika miwani yake atakutizama kwamba nilikuambiaje kuhusu watoto na miwani?unaacha mwenyewe...
phd said...mmmmhhh amependeza sana x big up x
Hahaha mh asili yao hakuna ma Proo wa nanihii kweli. Maana huo ni kurithishana tu.
Post a Comment