Tuesday, August 18

Clarence Andre Benjamin Mwanambuu

Mama na mwana...Clarence Mwanambuu(miezi 2) akiwa na mama yake Hilda Chuma.
Wamepandezaaa....
Nimepata mails za wadau wa Bwiru Girls wanaulizia sana picha ya huyu mtoto, na mimi nimeisaka hadi nimeipata, mumuone mpwa wenu mridhike.

3 comments:

Anonymous said...

heeeeh Hilda wooow
hongera mwaya

Lily Njuu

Anonymous said...

hongera hilda karibu chamani tunakuombea kila la heri
Ruth Kirangi mama Ethan
BWIRU GIRLS A LEVEL 1998-2000

Stiba said...

Hongera sana mama Clarence, Mungu awajaalie maisha mema, yenye afya na baraka tele.