Nimepokea taarifa toka kwa mama Jonny wa Mwanza kuwa mdau Jonny alikuwa amelazwa hapa Mwanza:
'Tumekaa hospitali kwa wiki mija na nusu. Zaidi ilikuwa ni homa. Tunaendelea vizuri na picha hizo nimempiga mda mfupi uliopita baada ya kutoka hospitali nilimwogesha then nikampiga picha anatimiza miezi kumi na moja kesho tarehe 20/9/09. Amepungua sana ila nashukuru mungu anaendelea vizuri."
Wadau tunampa pole Johnny kwa kuugua na mama Johnny kwa kuuguza, tunamwombea Johnny apone haraka na arudi tena kwenye afya njema.
Asante mama Johnny kwa taarifa.

No comments:
Post a Comment