Thursday, August 20

sare sare maua...Colman na kaka yake, Collin (4yrs) aliyekua sambamba na mdogo wake siku ya birthday ya mdogo mtu.

Baba mzaa chema.

hapa amebebwa na mama.

Wadau kibao walikuwepo kusherehesha.

1 comment:

Anonymous said...

hongera sn Colman, mungu akuzidishie miaka ya kuishi, uko piece sn colman, big up kwa sn tu.