Thursday, August 20

Happy Birthday Colman

Huyu ndio Birthday Boy mwanyewe...kapendezaaa...nani kasema watoto wa kiume hawana nguo za kupendezea?
Mdau Colman ametimiza mwaka mmoja siku ya tarehe 27/7/09.
keki ya colman siku ya birthday yake

Anafurahia keki...

'Mlishe baba...'

'...na mama...'

No comments: