Sunday, August 30

Different Colours - One People

Hii picha nimeikuta kwa huyu kaka, anaitwa Dr Moses Ringo, nikaipenda, maana binadamu tunaumbwa na rangi tofauti...ila wote ni binadamu tu hata tukiwa na rangi rofauti, maumbo tofauti na uwezo tofauti...tungefanana kama mayai dunia si ingeboa?
Mdau huyu, ambaye ni m-cute kichizi, nimepanda tabasamu lake, confidence yake na anaonekana anatunzwa vizuri na wazazi, anaitwa Neema Amani, anatokea Tanga.
Kama anavyoonekana hapo, anatupa dole, na anafurahia maisha kama wadau wengine.
Asante Ringo kwa kuniruhusu kutumia hii picha.
Nilisahau, Neema ni mdau namba moja Tanga, kuna anayebisha?

1 comment:

Anonymous said...

Hello Jiang na wadau wote wa MNM,
Nimefurahi kumuona Neema aka Ney akiwakilisha vyema Muheza na Tanga kwa ujumla! She is the FIRST mdau for sure!I promises to keep you updated kuhusu 'life' yake for at least kwa muda wote nitakaokuwa huku! Stay tuned!
Regards,
ringomoses..