Friday, August 21

Ethan Anawapa Hi!

Salamu toka kwa mdau Ethan...
Mama mtu, Ruth David Kiragi anasema, "Ethan ya sasa akiwa na miezi tisa tunafurahi kuona meno yanaota na ameanza kutembea hatuachi kushangalia kila hatua anayopita siku hizi anaita mama, analia mama! tunapomwoana anakuwa huku akipiga hatua moja moja katika kukua kwake ni furaha yetu wazazi tunamwombea kwa Mungu aendelee kumtunza na kutupatia sisi wazazi busara na uwezo wa kumtunza."
Amina.

No comments: