Saturday, August 22

Happy Birthday Ilhaan

Mdau mwenzetu wa kitambo, Ilhaan, ametimiza mwaka mmoja siku ya Jumatano ya tarehe 19, August.

Keki ni ya spiderman...

Ilhaan anashangaavinavyong'aa hapo juu ya keki...wadau wanafurahia kwa pembeni.

Mama, Hasina Hassan akimlisha keki birthday boy.

Hii nini tena???Waliohudhuria wanasema sherehe ilikua na vijimambo kibao vya kufurahisha watoto.

No comments: