Wednesday, August 26

Mbio Za Mbuzi 2009 Zilifana

Hizi Mbio za Mbuzi zilikua wikend flan hivi (ya tarehe 15 mwezi huu), ila sikufanikiwa kupata picha hadi leo, maana hii ni shughuli ya watoto. Kumbe mdau Aurelia Croft alituwakilisha vizuri kwenye shughuli hiyo iliyofanyika pale Msasani.
Kama umekosa usisikitike, mwaka kesho ipo tena...Mungu akijaalia X atakuwepo, maana mwaka huu nimeona ni mdogo sana kuenjoy kinachoendelea.



No comments: