Mdau wa Zenj, Yasser Abdul-Azizi Hamid (9mths) akiwa na mama yake, Amina Kheri.
Hapa si utani mmependeza...afu mmefanana...kuanzia rangi hadi afya njema!
*****
Afu jamani kuna mdau amelalamika, Hosam anasema yeye ndio mdau namba moja Zenj. Ni kweli Hosam ni mdau wa siku nyingi sana kuliko Yasser ila mi sikujua kama Hosam anatoka Zenj, na zawadi Yasser keshainyakua...wadau nisaidieni...na ukute Zenj wako wengi wa zamani ila hawakusema!

3 comments:
Bibie nakushauri,jitahidi kuwa mbunifu na hii blog yako sio tu ibaki kuwa albamu mpaka utumiwe picha ndio wapata cha kuuptodate.Ubunifu waitajika mama,kwani mpaka sasa hakuna blog inaboer km hii ukae ukilijua.
wala hata hai-bore! mbona umeingia kuangalia sasa!! sasa unataka apost picha za kuchora au awe anaenda muhimbili clinic ya watoto kuwapiga picha? Hata mbuyu ulianza kama mchicha! Goooo girl!!!!
Kusema ukweli blog sio kama inabore ila nafikiri pia ungekuwa unaandika article kuhusu watoto na mama kwa sana kweli picha tu ndio zimezidi za matukio halafu ujitahidi kuiupdate tumeshazoea blog kama za kina zeze jd ziko update kila siku na vionyo mbalimbali paka inakufanya kila saa utake kuangalia kuna nini jipya lakin umejitahidi sana dada ni ushauri tu
Post a Comment