Kondom ndogo sana (extra small) za kuwatosha watoto wa miaka kuanzia 12 zitakua madukani kwetu hivi karibuni.
Kondom hizo tayari kwenye maduka nchini Switzerland na zinajulikana kwa jina la Hotshot. Hii inafuatia utafiti nchini humo kuonyesha kuwa watoto wa miaka 12 wanafanya ngono isiyo salama.
Watengenezaji wa kondom hizo, Lamprecht AG., wamesema kuwa Uingereza ndio nchi itakayopewa kipaumbele wakianza kusambaza nje ya nchi kondom hizo mpya, kwa sababu nchi hiyo ndio ina kiwango kikubwa cha mimba za utotoni (teenage pregnancy) barani Ulaya.
Kondom za kawaida zina upana (diametre, jamani nimesahau kiswahili chake, hope nimeeleweka) wa 52mm wakati hizo za watoto, Hotshoti zina upana wa 45mm. Utafiti huo ulipowahoji watoto hao sababu ya kufanya ngono zembe walijibu kondom za kawaida ni kubwa kwao, ndio wakaamua kuwatengenezea. Watoto walioshiriki kwenye utafiti ni wa umri wa kati ya miaka 13 na 10.
Watafiti wanasema, "Tunajua watoto wanafanya ngono, hilo tumeshashindwa kulizuia, sasa badala ya kulifumbia macho afadhali tuwalinde na mimba za utotoni na magonjwa ya zinaa"
Wadau mnajua siku hizi dunia ilivyo kijiji, kesho na keshokutwa tu hizo kondom ndogo zitafika bongo, je ni sawa watoto wetu wa miaka 12 watengenezewa na kuuziwa kondom?

1 comment:
Dah bora! yaani mimi nimewahi kuuliza (pharmacy)kama kuna condom size ndogo nikaambiwa hakuna,miaka mitano iliyopita. Hizo si za mateeneger tu hata sisi watu wazima wenye size ndogo.
Post a Comment