Tuesday, April 12

Birthday ya Natasha ilikua boooooombaaaaa!


Mdau Natasha alitisherehekea kutimiza miaka kadhaa home kwao hivi karibuni....














.....na KIDUKU ndaniiii....

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Nasra maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.  

2 comments:

Mama Mkubwa Mrs. Mulokozi said...

Hongera mwanangu! Mungu akupe maisha marefu yenye afya njema! Miss Ntwaaara, Pendeza weweeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

rosetarimo said...

mwapendeza weye!