Monday, January 26

Baby Faraja

Baby Faraja akiwa ndani ya ile fashion niliyoitoa wiki ile, ya gauni na kofia, si utani amependeza si utani, mtoto mcute sana, na mama yake Farida Mtatula anasema,
"I can't explain how I feel before and now I am a mama,she is my happiness.I love her so much."

No comments: