Sunday, January 25

Samora Jr na Samora Sr

Samora Jr akiwa na baba yake Samora Sr. Huyu ni Junior haswaa, maana alivyofanana na baba yake, si mchezo.

1 comment:

Anonymous said...

Lyakurwa Sammy!!! Nimefurahi kuona hii picha hapa. Kumuona mtu usiyetegemea mahala kama hapa ni kitu inafurahisha sana na hasa pia unapopata kujua tayari ana mtoto na kumwona pia. Ukisoma hii post Samora, mimi pia nina wawili sasa nadhani labda na mi nitume picha zao ziwekwe hapa. Edgar (BK)