Sunday, January 25

Familia Bora

Beautiful Bridgitte akiwa na mama na baba yake. Wote wanasema wanampenda sana. Jamani mtoto kafanana na nani? Mi naona kama kachanganyia...

2 comments:

Anonymous said...

Wamependeza! Mtoto anafanana sana na baba yake!

Anonymous said...

LOKIN GUD, CONGRATS DENIS