Thursday, January 29

Watoto wa Kike na Baba, wa Kiume na Mama

Mama's Boy, Mwita akiwa amebebwa na mama yake, Gladys Fahari.
Dady's Girl, Aurelia Croft akiwa na baba yake Richard Croft.
***
Inasemekana kuwa watoto wa kike huwa wanawapenda sana baba zao, on the other side, watoto wa kiume nao wanawapenda sana mama zao. Jamani wadau kuna ukweli wowote?

1 comment:

Faustine said...

Ni Kweli.Kuna kitu kitaalam tunaita Oedipus Complex. Unaweza kupata maana kamili kwenye Wikipedia au Google.
Kwa kifupi ni kwamba watoto wa umri kati ya miaka 3-5 au zaidi huvutiwa zaidi na mzazi wa jinsia nyingine na huona wivu pale mzazi (wa jinsia ya mtoto)anapokuwa karibu sana na mzazi wa jinsia nyingine.

Hii ni hatua mojawapo katika makuzi ya watoto. Sio kitu cha kuhofia.
Natumai umepata mwanga kidogo.

Keep up the good work
Mdau
Dr Faustine
http://drfaustine.blogspot.com/