Tuesday, February 10

Beauty with brains

Mmoja wa wasichana kwenye top ten ya matokeo ya Form Four kitaifa, Elizabeth Sigalla akiwa home kwao Upanga jana. Mtoto mzuri kwa muonekano na kwenye ubongo ndio usiseme, ana A saba, nyingi zikiwa za science subjects.
Dream yake, akifika chuo kikuu asome Engineering, hasa Computer Engineering.
Huyu kweli kipanga!


6 comments:

Anonymous said...

Hongera Eliza. Mungu akusaidie ili uje kuwasaidia watanzania. wito wangu ni kwamba. Hata udaktari upe kipao mbele. Kwa nini mnapenda computer tuu???

Anonymous said...

Nyie acheni kumpoteza binti wa watu... hizo fani za sayansi hazina dili hapa Bongo.

Wewe beauty mwenye brains ukitaka sayansi nenda Marekani ndio utafaidi.

Ukitaka kufaidi hapa Bongo nenda ukasomee degree za kifisadi kama vile Business Administraton, Marketing, na Economics.

Kuna wadau watakuja kunipinga kwamba nakupoteza, au nakukatisha tamaa ila mi nakupa ukweli tu mdogo wangu.

Anonymous said...

Hongera binti and keep it up girl!

Anonymous said...

Hongera Elizabeth, live to see your dream come true girl!!!!
No ones knows how tommorow will be so those negative predictions should never let u down girl! I was told not to be who Iam now, and I sticked to my goal. and I dont regret.
keep it up! and dont forget that who enabled you is the living God.

Anonymous said...

Hongera sana, ila ninamashaka na waliofaulu na kufeli kwa mwaka huu.

Wizi mtupu hakuna wa kumpongeza wala kumshutumu kwa kuwa paper zilivuja ile mbaya.

Baraza limewafanyia mtimanyongo baadhi na kuwabeba wengine

Anonymous said...

we namba mbili, tena ukome, mana jua kwamba kila mtu na bahati yake, wako waliosoma business na bado hawaja make chochote.

mwaya mdogo wangu mzuri soma kitu roho inapenda na utafanikiwa, mimi ni engineer na nina enjoy kupita maelezo, ukipata right place popote pale uwe umesoma chochote u'll succeed, achana na huyu failure hapo juu