Tuesday, February 10

Nasri Naye kwa Vidole...

Nasri Charunga (5 months) akifaidi vidole vyake kama Xchyler anavyofanya. Si utani mtoto huyu ana afya, na ukilinganisha mama yake, Zena Chande alivyo mdogomdogo hata akimbeba huamini kama mwanae.

2 comments:

Anonymous said...

kweli nasri ana afya mashaalah mungu amkuze vizuri. hongera zena unajitahidi kulea vizuri.

Anonymous said...

kweli nasri ana afya mashaalah mungu amkuze vizuri. hongera zena unajitahidi kulea vizuri.