Sunday, February 15

Big Psalm

Psalm Chawe akishangaa kitu, baba yake anamwita Big Psalm. Inawezekana nimezoe majina unique kama la mwanangu hivyo huwa sishangai sana majina ya watu, ila si utani hili nililishangaa, as sikutegemea kama linatumika kama jina, na likitamkwa ni kama Sam ya kawaida.

1 comment:

Anonymous said...

WE JIANG!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! UMEBANIA COMMENTS ZANGU,JUA KWAMBA NAELIMISHA JAMII, HAYA MAMA XCHYLER!!!!!!!!!!!! SI BLOG LAKO