Thursday, March 26

Ubatizo - Faraja wa Denmark

Huyu ni Faraja au Oscar alipobatizwa huko Denmark anakoishi na mama na baba yake. Huyu mtoto amependeza sana, mi nimempenda sana. Msishangae hilo gaini ndani ya huyo mkaka, ama yake, Annastacia anasema huko Dk watoto wote, wa kike na wa kiume wote, huuvaa gauni nyeupe wakati wa ubatizo. Tofauti yake ni kwamba wakaka wanavaa gauni jeupe lenye mkanda wa bluu, kama hilo la Oscar, na wasichana lenye mkanda wapinki.
Binafsi naona Oscar amependeza sana.

No comments: