Friday, April 3

Shymaa na Gavana wa Australia

Shymaa akipokea zawadi toka kwa Gavana Mkuu wa Australia, Quentin Bryce alipokwenda kumuaga katika Hotel ya Kempinski. Shymaa ni mtoto wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dk. Batilda Burian (moja wa mawaziri wacheche nnaowazimia personally). (Picha na Lulu Mussa).

1 comment:

Sophie said...

Nimeiona blog yako kwa bahati tu na nafurahi nimeiona maana nimeipenda. Na mie ni mama kwa hiyo naona hapa nimefika. Kazi nzuri dada.