Thursday, October 15

Collin ndani ya pozi na full jeans

Huyu ni mdau Collin (4.5yrs) kaka yake na Colman Francis wa Arusha.
Hapo collin sijui hilo pozi alilitoa wapi jamani!

1 comment:

Anonymous said...

Collin nimependa sn pozi lako na ulivyo vaa full jens umetoka chicha sn, hongereni sn wazazi wa collin