Wednesday, October 14

Nadya - Mdau No. 1 Dubai

Jina kamili la mdau huyu mpya ni Nadya Amuma, yeye anaishi Dubai, na leo anatimiza miezi kumi, yani bado miwili tu tumuimbie na tule keki.
Mi nimempenda kwa mengi, kwanza, pamoja na unatural beauty wake, ni mdogo lakini anajua kula pozi la ukweli, sasa hivyo vijino ndio vimenifurahisha zaidi, si mnajua am crazy about vijino viwili??

No comments: