Sunday, November 15

Collin kaanza IT mapemaaa!

Mdau Collin Francis wa Arusha akiwa katika pozi ofisini kwa mama yake.
"Ameanza mapema fani ya baba yake ya IT. sijui akikuwa atakuwaje sasa, ndo atakuwa mtaalamu zaidi."

Hapa kabadilisha kibao na kuanza kumdekea mam'ke Joyce Francis, anamuomba eti amnunulie Trekta!
Joyce anajiuliza, "sijui limemtokea wapi maana kila saa naambiwa, sijui amesikia shule!"
Kalisikia kwenye KIlimo Kwanza, so mama nunua tu hilo trekta, acha kujiuliza maswali.

2 comments:

Anonymous said...

Watalamu wetu wa kesho.
Mama muendeleze mtoto katika yale anayopenda toka utotoni.

disminder.

Anonymous said...

collin nakufagilia, hapo hapo ng'ang'ania trekta! kauli mbiu ni kilimo kwanza usikubali dau trekta kwa mama. big up collin